Wednesday, 2 October 2024

ELIMU YA UCHAGUZI YAWAFIKIA WANANCHI WOTE KATA YA UTALINGOLO

 



KATA YA UTALINGOLO WAMEKAMILISHA KUTOA ELIMU NA KUHAMASISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NOVEMBA 27,2024

Okotba 2,2024 Umefanyika  mkutamo katika kijiji Mfereke na Utalingolo ukiwa na lengo la kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa. 

Akizungumza katika mkutano huo Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji Njombe Mhe. Erasto Mpete amewaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utaleta viongozi ambao watasaidia kutatua changamoto za wananchi.

 "Mikutano imekuwa ya mafanikio sana, wananchi wameelewa vizuri na wamehamasika juu kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2024" Amesema Diwani na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mh Erasto Mpete

Mkikutano hiyo ilitanguliwa katika kiji cha Ihalula na Mfereke kwa wanachi wote kuhamsishwa kushiriki katika uchaguzi

No comments:

Post a Comment

AKULIMA WA CHAI NJOMBE WAIBUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU NA SOKO

  WAKULIMA WA CHAI NJOMBE WAIBUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU NA SOKO Wakulima wa zao la chai mkoani Njombe wameiomba serikali pamoja na wada...